LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

SHUSHO AKERWA NA UGAIDI TANZANIA


Shusho

Mwimbaji wa nyimbo za injili Christina Shusho amedai kukerwa na ugaidi unaoendelea kushamili nchini Tanzania na kusema kuwa kuna kila sababu ya Watanzania kuendelea kuupinga kwa nguvu zote ili kulinda heshima iliyopo ya kuwa ni kisiwa cha amani.
Akizungumza na Tanzania Gospel Music jijini Dar es Salaam leo, Shusho amesema hakuna Mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi yake akaendelea kuona damu ya watu wasio na hatia wanapoteza maisha yao kwani suala la kuishi ni la kila mwandamu.
“Hakuna mtu anayependa kumuona mwanadamu mwenzake anapoteza maisha kwa njia hii ya kikatili inayoendeshwa na magaidi, hivyo Watanzania tuendelee kuiombea nchini yetu na serikali nayo iwasake watu hao mpaka iwakamate,” amesema shusho.
Shusho amesema watu wanaofanya ukatili huo hawana lengo jema na Tanzania na yawezekana Al-Shabaab wameshajipenyeza nchini kama walivyofanya Kenya ambapo kwa sasa wanalisumbua taifa hilo.

Newer Post Older Post