LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

Kampeni ya Komesha Uchawi na Mchawi… Mwanamke ajifungua kiloba cha shanga *Asimulia shetani alivyofunga tumbo lake

 Nabii Suguye akifanya maombezi
Kampeni ya Komesha Uchawi na Mchawi Lete Roho kwa Yesu inayoendeshwa na Nabii Nicolaus wa huduma ya The Word of Reconciliation Ministries (WRM) iliyopo Matembele ya pili Kivule imeendelea kuwa mkombozi kwa watu baada ya mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Demetria kujifungua kiloba cha shanga. Akisimulia mkasa huo ndani WRM, Demetria alisema kuwa kabla ya kufika hapo alikuwa haoni siku zake takribani miaka mitano na kuombewa na watumishi mbalimbali bila mafanikio huku tumbo lake likiwa linauma kana kwamba ana mchango.
Demetria alisema hali hiyo ilimtesa muda mrefu hali iliyosababisha akate tamaa na kwa kujua kuwa hakuna njia mbadala ya kutatua tatizo hilo lakini alipata nguvu ya kufika WRM na bahati nzuri akakutana na mkono wa Mungu kupitia Nabii Nicolaus na kupata muujiza wake.
“Jamani ninalia kwa furaha kwani Mungu wa WRM amenifungua vifungo vyangu. Nina kama miaka mitano sioni siku zangu na sikujua tatizo nikaenda kwa watumishi mbalimbali wa Mungu kwa ajili ya maombezi lakini sikupata uponyaji huku nikiteseka kwa tumbo kuuma kama nina mchango.
“Cha ajabu baada ya kusikia kampeni hii nikaamua kufika na kweli nilikutana na mkono wa Mungu kwani baada ya kufika nyumbani usiku wa manane tumbo la uchungu lilianza kuuma wakati sina mimba na nikawa katika hali ya kujifungua na kweli nikajifungua kiloba kilichojaa shanga.
“Nilishtuka sana kuona kitu hicho na baada ya kujifungua ndipo nikaanza kuziona siku zangu na kutambua kuwa kweli kampeni hii si ya kawaida. Namshukuru Mungu wa Nabii Nicolaus kwa kuniponya na tatizo hili,” alisema Demetria.
Wakati huo huo Mwamini Richard amefanikiwa kupata watoto mapacha baada ya kukaa kwenye ndoa miaka mitano bila kishika ujauzito hali iliyopelekea kuanza kuchukiwa na baadhi ya ndugu wa mwanaume.
Akisimulia muujiza huo, Mwamini alisema kuwa alifika WRM akiwa kama kujaribu bahati yake ya kunasa mimba na wakati wa maombezi jicho la Mungu kupitia Nabii Nicolaus lilimuona na kumuambia kuwa atapa mimba na atajifungua mapacha wakiume jambo ambalo kweli limetimia.
“Namshangaa Mungu wa WRM, nilifika hapa kama kujaribu bahati ya kupata mimba kwani nilitukanwa sana. Lakini wati nabii naombea watu alipofika kwangu alisimama na kuniambia Mungu amesikia kilio changu nitashika mimba na nitajifungua macha wa kiume na kweli imekuwa,” alisema Mwamini.
Kampeni hiyo inaendelea leo Nabii Nicolaus atawaombea watu wenye uhitaji wa kazi, biashara, makampuni na amewataka walengwa kufika na vyeti vya usajili wa makampuni, biashara, funguo za magari kwani Mungu kuna kitu ataenda kufanya.

Newer Post Older Post