LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

SEMINA YASOGEZA MBELE TAMASHA LA INJILI



               Mwinjilisti Kabula George

Semina iliyoandaliwa ghafla na viongozi wa kanisa la Moravian Usharika wa Yerusalem mkoani Mbeya umesababisha kusogezwa mbele tamasha kubwa la muziki wa injili lililokuwa lifanyike Julai 21,2013 mkoani humo na sasa litafanyika  Agosti 4  kwenye ukumbi ambao utangazwa wiki ijayo. Mratibu wa tamasha hilo, George Kayala amesema leo kuwa taarifa za kutumika kwa ukumbi huo semina ya vijana alipewa juzi na kusababisha usumbufu baada ya kukosa eneo mbadala la kufanyia shughuli hiyo. “Juzi nilipigiwa simu na wenyeji wa kanisa hilo wakisema siku hiyo kutakuwa na semina ya vijana hivyo haitakuwa rahisi kufanya tamasha hapo hali ambayo imenipa hasara kubwa baada ya kukosa eneo mbada na tayari nilikuwa nimekamilisha maandalizi yote kwa aiili ya siku hiyo,” alisema Kayala. Mratibu huyo aliendelea kusema kuwa mbali na kupata hasara ya awali baada ya kulisogeza mbele tamasha hilo anaamini hatawaangusha Agosti 4 mwaka huu kwani atafanya maandalizi mazuri na yenye kufurahisha. “Pamoja na kupata hasara hiyo bado namwamini Mungu baada ya kulisogeza mbele nitafanya maandalizi mazuri zaidi ili kila mmoja apate kufurahia na ninawaomba radhi wadau ambao walikuwa wamejiandaa kwa tarehe 21 mwezi huu,” alisema Kayala. Kayala alisema kuwa bado anakaribisha wadhamini wa tamasha hilo na sasa waliojitokeza ni  Ushindi Redio FM ya Mbeya, RGC Miracle Center Tabata Chang’ombe, Shalom Production, DD Entertainment,  The Genesis Global College na Eck Production. 

Newer Post Older Post