LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

KONGAMANO KUBWA LA MAOMBEZI YA KINABII KUFANYIKA LEO



Kongamano kubwa la maombezi ya kinabii na uponyaji linatarajiwa kuanza leo Julai Mosi  katika Kanisa la RGC Miracle Center  Tabata  Chang’ombe jijini Dar es Salaam kwa kuwashirikisha mitume saba na litahitimishwa Julai 7 mwaka huu.
Akizungumza na Tanzania Gospel Music leo asubuhi, mwandaaji wa kongamano hilo Mtume Peter Nyaga wa kanisa hilo amesema uzinduzi huo utafanyika saa 9:00 hadi saa 1:00 usiku  ukiongozwa na Mtume Ferdinand wa huduma ya Agape.
Mbali na Mtume Ferdinand  mitume wengine watakaohudumu katika madhabahu hiyo moja ni Mtume Munene, Mtume Onesmo Ngedi, Mtume Prosper Ntepa, Mtume Daniel Nyalusi, Mtume Livingstone na Mtume Shebele.
Mtume Nyaga amesema lengo la kongamano hilo kuiombea Tanzania kuendelea kuwa na amaani na litahusisha makanisa yote, dini zote na makabila yote ambapo kwa mikono ya Mitume zitafanyika ishara na maajabu mengi ambapo siku ya Sabasaba kutafanyika tamasha kubwa la muziki wa injili kwa kuwashirikisha waimbaji 225 kutoka ndani na nje ya nchi na hakutakuwa na kiingilio.

Newer Post Older Post