LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

WATOTO WAWILI WAFA BAADA YA KUTUMBUKIA CHOONI



Watoto wawili mmoja miaka mitatu na mwingine miaka minne wamefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye shimo ambalo limechimbwa kwa ajili ya matumizi ya choo likiwa na futi 12 na lilikuwa limejaa maji machafu.
Tukio hilo limetokea juzi mkoani Mara ambapo watoto hao walikuwa wakicheza majira ya jioni na walikuwa wakicheza kwa kukimbizana na watoto wenzao na shimo hilo lilikuwa limefunikwa kwa majani ambayo yaliwafanya marehemu hao wasijue kama kuna kitu hicho na kukuta wanazama ndipo rafiki zao wakaenda kutoa taarifa kwa watu waliokuwa jirani.
Watoto hao waliokolewa wakiwa wamekunywa maji mengi na kukimbizwa hospitali lakini walifariki wakiwa njia.
Jeshi la Polisi mkoani hapo limethibitisha kutokea kwa kifo hicho na hakuna anayeshikiliwa kutokana na tukio hilo kwani mmiliki wa nyumba yenye shimo hilo ni mzee ambaye hakuwa na uwezo wa kukiendeleza choo hicho ambacho kiliachwa na ndugu yake ambaye alifariki siku nyingi na kumuacha peke yake.

Newer Post Older Post