LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

MATENDO AKAMILISHA ALBAM YAKE YA KWANZA

Matendo Andrew Mgeni  wakati anarekodi albam yake

Mwimbaji chipukizi wa nyimbo za injili nchini, Matendo Andrew Mgeni amekamilisha albam yake ya kwanza ambayo bado hajaipa jina ikiwa na vibao vinane.
Akizungumza na Tanzania Gospel Music leo asubuhi, Matendo alisema kuwa nyimbo zote ni nzuri hivyo bado anaangali ni wimbo gani ndiyo ubebe albam.
“Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kufanikisha kukamilisha albamu yangu ya kwanza katika studio ya Eck Production iliyopo Mwembechai jijini Dar es Salaam. Mpaka sasa sijapata jina la albam hiyo kutokana na kila wimbo naona unafaa kubeba albamu,” amesema Matendo.

Newer Post Older Post