LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

STELLA JOEL KUFANYA KWELI DAGI, ARUSHA

Stella akifanya zoezi kabla ya kuelekea Arusha

Stella Joel ameahidi kuimba vibao vyake vyote vikali katika mkutano wa injili unaotarajiwa kufanyika Julai 13,2013 katika kanisa la Deliverance Assemblis of God International (DAGI) TZ lililo chini ya Mtume na Nabii Zephania J Mollel lililopo mkoani Arusha.
Akizungumza na Tanzania Gospel Music leo asubuhi, Stella amesema kuwa kwa sasa yupo katika mazoezi makali ikiwa ni maandalizi ya kuweka sauti yake vizuri kabla ya kuanza safari.
“Nipo kwenye mazoezi makali nikijiandaa na mkutano wa siku saba ambao umeandaliwa na mtumishi wa Mungu aliyejawa na miujiza ya Yesu,  Mtume na Nabii Zephania J Mollel na nitaimba vibao vyangu vyote vikali,” amesema Stella. 

Newer Post Older Post