LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

MCHUNGAJI MWASUBI AMPA MIMBA MWANAFUNZI, ATUPWA JELA MIAKA 35


Mahakama ya rufaa Tanzania
Mahakama mkoani Mbeya imemhukumu kwenda  jela miaka 35 mchungaji  Daniel Mwasubi wa kanisa la EAGT baada ya kupatikana na hatia ya kumpa mimba mwanafunzi wa shule ya sekondari Isenga mkoani hapo.
Mahakama hiyo pia imeamru kuchapwa fimbo 12 na kumlipa mwanafunzi huyo bilioni 20 kutokana na kosa la kumharibia masomo msichana huyo. Mchungaji huyo anadaiwa kupanga uhusiano wa kimapenzi na mwanafunzi huyo Desemba mwaka 2008 na kufanikiwa kuzaa naye watoto wawili.
Baada ya kutolewa hukumu hiyo mwanafunzi huyo ambaye sasa ana umri wa miaka 19 aliangua kilio kwa madai kuwa huyo ni mume wake na alikuwa anamtegemea katika suala la kuwalea wanaye na mahakama hiyo imempa siku 30 mchungaji kukata rufaa kama ataona hajalidhika na hukumu hiyo.

Newer Post Older Post