LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

MTUME WA UREJESHO KUUZA KITABU CHAKE LEO


Mtume Nyaga akiuza kitabu cha Nguvu ya Pesa na Utajiri na waamini wanaonekana kukichangamkia sana


Mtume wa Urejesho wa Kanisa la RGC Miracle Center Tabata Chang’ombe, Peter Nyaga leo anatarajia kuendelea kuuza kitabu chake  kiitwacho Nguvu ya Pesa na Utajiri ambayo kimefanyika msaada mkubwa katika jamii. Akizungumza na Tanzania Gospel Music muda mfupi uliopita, Mtume Nyaga amesema kuwa saa 3:00 asubuhi hii atakuwa na maombi ya unabii kwa mtu mmoja mmoja na vitabu vitapatika kwa shilingi 5000 badala ya 50,000. Mtume Nyaga amesema kuwa ndani ya kitabu hicho kuna masomo ya ujasiliamali hasa wa kutengeneza sababu, batiki nk.

Hiki ndiyo kitabu cha Nguvu ya Pesa na Utajiri cha Mtume Nyaga

Older Post