LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

LUKAMAJA NA MKEWE WAKIMSIFU MUNGU

Lukamaja na mkewe Glory wakicheza moja kati ya nyimbo zilizosheheni katika albamu ya Mnyama Kobe.
Mchungaji wa kanisa la TAG Salala jijini Dar es Salaam Chrisantus Siame na mkewe Winfrida Siame akifurahia wimbo wa Mnyama kombe wakati Lukamaja akiimba kanisani hapo.
 
Lukamaja na waimbaji wake wakiwa katika moja ya pozi la uimbaji wa baadhi ya nyimbio zinazopatikana albamu ya Mnyama kobe. Picha ya pili hapo juu, Lukamaja akiwa na mkewe Groly na katikati ni mtoto wao mpendwa Prosper wakiwa katika kuimimbia Mungu.

Uzuri wa albamu hii huwezi kuufaidi kwa kusimuliwa, pata nakala yako ili ujue ukweli wa kile ninachokisema. Hapa Lukamaja akiwa kwenye pozi linalopatikana katika albamu hiyo.


Jamani kumwimbia Mungu mme na mke kuna raha zake. Hapa ni Lukamaja na mkewe Glory wakimchezea Mungu. Ukitaka kufaidi uchezaji wao, nunua nakala yake leo.

Newer Post Older Post