LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

PENTECOSTE RENEWAL ASSEMBLY


KARIBU KANINSA LA PENTECOSTE TABATA SEGREA CENTER

S.L.P 2908 DAR ES SALAAM

RATIBA YA VIPINDI

Jumatatu 10:30 - 12:00 Jioni Vijana Gopel Felloship
Jumanne 11:00 - 01:00 Jioni Kujifunza Biblia
Jumatano 10:00 - 12:00 Jioni Kwaya

Alhamisi 11: 00 – 01:00 Inuka uangaze(Maombezi ya Uponyaji)
Ijumaa 10:30 – 12: 00 Jioni Chama cha Kina Mama na mkesha wa maombi
Jumamosi 10:00 – 12:00 Jioni Kwaya
10:00 – 12:00 Jioni Utunze muujiza wako
Jumapili 03:00 – 03:45 Asubuji Maombi ya wote
03:45 – 04:45 Asubuhi Kuukulia wokovo
04:45 – 07:00 Asubuhi Ibaada Kuu
10:00 – 12:00 Jioni Saa imefika ya Ukombozi wako.

Kanisa lipo Tabata Segerea mtaa wa Ugombolwa jirani na shule za msingi za Segerea na Ofisi za Kata za Segerea. Unayetoka mjini, shuka kituo cha Sanene, kasha vuka. Hesabu nguzo kubwa za chuma za umeme ya tano utakuwa umefika. Au panda taksi (tax) ikulete panafahamika kwa jina la Uwanja wa soko. Ama nenda mpaka Segerea mwisho (stendi ya daladala) uliza hizo shule utaeelekezwa na kufika kwa urahisi.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu:
+255 762783660, 0718750160, +255 717663242
Au Box 2908, Dar es Salaam Tanzania

Newer Post Older Post