Wimbo bora wa injili mwaka 2009
Waimbaji waliokatika shindano hilo na namba zao za ushiriki kwenye mabano ni;
Neema Mwaipopo – Usijinyime raha (101)
Jenn Joel Makila - Mungu hana upendeleo (102)
Jennifer Mgendi – Jaribu langu (103)
AIC Chang’ombe – Mpinga Kristo (104)
Medrick Sanga - Mapambano (105)
Mwanga town Choir – Mwambie Yesu (106)
Ency Mwalukasa – Usilie (107)
AIC Mwadui – Haki (108)
Apostle Kyande – Selemala (109)
AIC Makongo – Kekundu (110)
Rose Mahenge – Mbinguni ndiko nyumbani (111)
Jenn Miso – Omoyo (112)
Solomon Mukubwa – Mfalme (113)
Upendo group – Jina lako li hai (114)
Rose Mhando – Jipange sawasawa (115)
Upendo group – Yesu yeye yule (116)
Flora Mbasha – Furaha yako (117)
Rose Mhando – Si salama (118)
Joseph Nyuki – Tegemeo langu (119)
Upendo group – Mungu wetu ni mwema (121)
Geraldine Odwaa – Upendo wa ajabu (122)
Upendo group – Amen haleluya (123)
Abiud Misholi – Tenda miujiza (124)
Christina Shusho – Unikumbuke (125)
Upendo Nkone – Haleluya usifiwe (127)
Mhubiri kwaya – Nani kama wewe (128)
Rose Mhando – Nibebe (129)
Bahati Bukuku – Waraka (130)
Piga kura sasa kwa wimbo unaopenda uwe Bora mwaka 2009 kwa kuandika namba ya mwenye wimbo na kisha tuma kwenda 15788.
One Response to “Wimbo bora wa injili mwaka 2009”
Habari, nashukuru sana kwa walioandaa jambo hili la kutafuta wimbo bora wa mwaka wa Muziki wa injili, nawapongeza sana kwa jambo hili kwani kwa kufanya hivi wanazidi kulipa nguvu neno la Mungu, kueneza neno la Mungu na kuwafanya watu wakumbuke kuyatenda matendo yanayompendiza Mungu.
Sijajua ni vigezo gani vilitumika kuchagua nyimbo ambazo zimependekezwa katika kuchagua nyimbo bora za mwaka huu. Kwa maoni yangu yaliyo wazi na huru bila kujali upande wowote naona bado kuna kundi kubwa tu la waimbaji halipo pia kwaya nyingi hazipo ambazo nazo katika mwaka huu zimefanya vizuri sana katika kumtukuza Mungu kwenye Tv na radio mfano Angela Chibalonza ( najua ametutangulia mbele za haki ila mwaka huu nyimbo zake zimelisifu sana jina la Bwana). The Reapers kimara albamu Ninaye rafiki, Bonny Mwaitege,Kitim tim, Marion Shako na wengine wengi. Mawazo yangu nikuwa ingekuwa vyema kuwapatia wasikilizaji au waangaliaji wakachagua wenyewe kuanzia mwanzo ila si kuwachagulia ndipo wachague kati ya hao. kwani kuna kufanya hivyo kunapunguza wingo wa uchaguzi.
Post a Comment