LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013
WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.
JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA
KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.
ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.
IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404
REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI
Kiongozi mwanaharakati wa kiislamu nchini Kenya , Al-Amin Kimathi, leo (Jumanne) amefunguliwa mashtaka ya kujihusisha na ghasia kufuatia vurugu zilizotokea wiki iliyopita katikati ya mji mkuu wa nchi hiyo, Nairobi. Kimathi anashutumiwa kwa kuhusika na maandamano ya Ijumaa iliyopita kupinga kurejeshwa kwao kwa muhibiri wa dini ya kiislamu kutoka Jamaica, Sheikh Abdullah al-Faisal. Kwa mujibu wa shirika la habari la Uingereza, Reuters, limesema kuwa, Kimathi alikamatwa jana (Jumatatu) katika mahakama kuu ya Nairobi ambako watuhumiwa kadhaa wa ghasia hizo walikuwa wakisomewa mashtaka yao. Wakati huo huo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Moses Wetangula, amesema kuwa nchi hiyo imefanikiwa kupata ndege ya kumrejesha kwao mhibiri huyo wa kiislamu na kwamba hatua hiyo itafanyika mnamo siku mbili zijazo.
KAMA UNA HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI POPOTE DUNIANI TUMA KWA EMAIL HII. productiongmk@gmail.com. NAMI NITAZIWEKA KWENYE BLOG HII BILA GHARAMA YOYOTE. NAKARIBISHA HABARI ZA MATAMASHA YA INJILI, MIKUTANO, RATIBA ZA MAKANISA, SEMINA, HARUSI NA MAMBO MBALIMBALI KWA AJILI YA KUWAJULISHA WANAULIMWENGU. WASILIANA NAMI KWA NAMBA ZIFUATAZO. +255 712 001 880, +255 755 240 136.
Post a Comment