MUNGU NI MWEMA KWETU
Hapa nilikuwa kanisani nikimwabudu Mungu wangu
Nimatumaini yangu kuwa wote ni wazima, naomba radhi kwa ukimya wa siku nyingi nimekuwa kimya kidogo kutokana na mambo yaliyokinyume na uwezo wangu. Ni imani yangu kuwa kuanzia sasa nitakuwa nawaletea tena matukio mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi. Pina nakaribisha maoni yako juu ya blogo hii pia unaruhusiwa kutuma habari yako popote pale ulipo pamoja na picha yako.
Hii ni nafasi pekee kwako kutangaza huduma yako kupitia mtandao huu unaosomwa na watu wengi.
One Response to “MUNGU NI MWEMA KWETU”
Tukitoa maoni huwa UNAYABANIA. KUNA MAANA GANI YA KUTOA MAONI WAKATI HAYATOKI???
Post a Comment