LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

KABULA J GEORGE NA MUMEWE WAHITIMU MASOMO YA UCHUNGAJI NA UNABII

 Picha ya chini na juu inamuonyesha George Kayala akicheza ndani ya Huduma ya Neno la Upatanisho siku ya kuhitimu masomo ya Uchungaji na Unabii, kushoto kwake ni Kabula.
 Kabula akiimba kwa furaha wakati wa mahafali hayo yaliyofanyika ndani ya ukumbi wa Huduma ya Neno la Upatanisho Novemba 13,2010
 Baada ya kusifu zamu ya kumwabudu Mungu iliwadia, Kabula akimwabudu Mungu katika roho na kweli
 George naye hakuwa nyuma katika kumwabudu Mungu siku hiyo


 George na Kabula wakiwa katika picha za pozi baada ya kuhitimu masomo ya Uchungaji na Unabii Novemba 13,2010
 Mwihava akicheza kwa ustadi wimbo wa Kumbuka Kushukuru ndani ya Huduma ya Neno la Upatanisho iliyopo Bustani ya Eden Kivule Jumapili iliyopita (Novemba 14,2010). Picha chini Kabula na mumewe George na rafiki yao Renata Samba wakimwabudu Mungu wakati wa ibada Jumapili ya Novemba 14,2010 ndani ya Huduma hiyo.
 Glory George wa katika akimsifu Mungu wakati wa ibaada
 Kabula akimwabudu Mungu kwa kumanisha
 George Kayala naye akionekana amezama katika kumwabudu Mungu

 Dada huyo jina tunalihifadhi akiwa amelala chini baada ya kuombewa mtumishi wa Mungu Nicolaus Suguye ambaye ni mwangalizi wa Huduma ya Neno la Upatanisho hayupo pichani. Dada huyu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya damu na sasa ni mzima wa afya.


Newer Post Older Post

4 Responses to “KABULA J GEORGE NA MUMEWE WAHITIMU MASOMO YA UCHUNGAJI NA UNABII”

Anonymous said...

Sasa itabidi uachane na mambo ya giza ya udaku wa Shigongo. Jitoe kabisa kumtumikia Mungu....

Anonymous said...

hongereni sana kwa kupata uchungaji, ila kuna kitu kinanitatiza katika blog yako naona kwenye blog yako mambo mengi na picha nyingi zinakuhusu wewe mwenyewe na familia yako tu!!! kwa asilimia 80.Jaribu kutuwekea matukio mbalimbali ya makanisa tofauti naona ni wewe tu kama vile unajiadvertise kupita kiasi! sorry kama nitakuwa nimekukwaza labda utembelee na strictly gospel you can get some ideas so as to change.Mama Alice U.K.

Anonymous said...

UNABII UNASOMEWA???

Anonymous said...

UNABII HAUSOMEWI - SIMPLE AND CLEAR !!!