LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

SARAH SANGA AKAMILISHA ALBAMU YAKE YA KWANZA

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini, Sarah Sanga amekamilisha albamu yake ya kwanza yenye nyimbo  nane na kuipa jina la Simama baba Unitetee. Akizungumza na TGM jana jijini Dar es Salaam, Sarah alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuikamilisha albamu hiyo ambayo nyimbo zake zina mguso wa hali ya juu hali inayopelekea watu wengi waipende kuhu wengine wakinunua nakala zake halisi.

“Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kukamilisha albamu yangu hii ya kwanza ambayo inapendwa na watu wengi kutokana na uzuri wa nyimbo zake.” “Pia namshukuru mume wangu mpendwa John Alomon Sanga ambaye amekuwa msaada mkubwa katika huduma yangu na Mungu azidi kumpa moyo huo kwani ni wanaume wachache wenye kutambua huduma za wake zao,” alisema Sarah.

Nyimbo zinazounda albamu hiyo ni Simama Baba Unitetee, Haleluya, Anajibu Maombi, Yesu Napiga Saluti, Tanzania, Mwana wa Adamu, Moyo Wangu na Siku za Mwisho. Sarah alianza huduma yake ya uimbaji mwaka 2005 katika kwaya ya MKC ya Mwananyamala Kisiwani na mwaka huu ameanza kuimba rasmi peke yake. Mwimbaji huyu yupo tayari kwa mialiko ndani na nje ya nchi. 

Wasiliana naye kwa simu namba +255 754 290 953/ +255 714 370 059. Email:sarahsanga164@yahoo.com

Newer Post Older Post

3 Responses to “SARAH SANGA AKAMILISHA ALBAMU YAKE YA KWANZA”

Unknown said...

Nafurahia sana Huduma ya dada huyu...Wimbo wa Anajibu unaugusa sana moyo wangu
Mungu akubariki sana

Anonymous said...

Be blessed....i love your work

Anonymous said...

God give you strength. Uendelee bila kufa moyo!