LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

FURAHA ISSAYA KUJA KIVINGINE


Furaha Issaya akiwa studio
Baada ya kukaa kimpya kwa muda wa miaka sita, mwimbaji wa nyimbo za ainjili nchini, Furaha Issaya aliyevuma na kibao cha Nina Jua Neno Moja ndani ya albamu ya kwanza iliyojulikana kama Usiogope amereje tena studio kurekodi albamu ya pili.
Akizungumza na Tanzania Gospel Music leo jijini Dar es Salaam, Furaha alisema kuwa albamu hiyo ataipa jina la Sema Nami na kazi hiyo anaifanyika katika studio ya Eck Production na amewataka wadau wa muziki huo kuwa tayari kuipokea.
“Nimeamua kuja kivingine baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu nikisubiri maelekezo ya Mungu kwamba nitokeje. Nawaomba mashabiki wangu kukaa mkao wa kuipokea albamu yangu mpya ambayo naamini itakuwa kali kuliko ya kwanza,” amesema Furaha.

Newer Post Older Post