LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

MWIGULU NCHEMBA MGENI UZINDUZI WA HESABU BARAKA

Mwigulu Nchemba

Mbunge wa Iramba Magharibi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba  anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa albam ya pili ya mwimbaji wa nyimbo za  injili nchini, Joyce Mwaikofu itwayo Hesabu Baraka utakaofanyika Agosti 4 mwaka huu ndani ya kanisa la EAGT Kipunguni A Ukonga Banana barabara ya Kitunda ikiwa katika mfumo wa DVD.
Akizungumza na Tanzania Gospel Music jana jijini Dar es Salaam, Joyce ambaye ni mwanasheria wakili alisema kuwa, Nchemba amekubali kuizinduzi albam hiyo iliyokuwa izinduliwe Julai 28 mwaka na lengo nikupata  fedha za kununulia vyombo vya muziki na nyingine kumalizia ujenzi wa kanisa hilo linaloongozwa na mmewe mchungaji John Mabega.
 “Nchemba amekubali kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa albam yangu ya pili na nina amini kuwa uwepo wake utawezesha kupatikana kwa fedha ambazo zitanisaidia kununulia vyombo vya muziki vitakavyotumika kanisani pamoja na kumalizia ujenzi wa jengo la kanisa hilo ambao umesimama kwa sasa,” alisema Joyce.
Akizungumzia mabadiliko ya tarehe ya uzinduzi huo kutoka Julai 28 mpaka Agosti 4 mwaka huu mama mchungaji huyo alisema kuwa imetokana na Nchemba kupata dharura na kuomba usogezwe mbele naye hakuna na kipingamizi na kuwaomba radhi mashabiki wake kwa sumbufu utakaojitokeza.
 Joyce alisema kuwa uzinduzi huo ambao hautakuwa na kiingilio utasindikizwa na wakali wa nyimbo za injili ambao atawataja wiki ijayo kutokana na sasa kuwa katika mazungumzo ya mwisho na wameonyesha hali nzuri ya ushirikiano wa kufika katika shughuli hiyo itakayoanza saa 7:00 mchana.

Newer Post Older Post